Kuhusu Jarida

Jarida la Fahari ya Kiswahili (JAFAKI) ni jarida la kitaaluma lililopo chini ya idara ya Lugha, kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Katoliki Ruaha. JAFAKI lilisajiliwa na Maktaba Kuu ya Taifa 2019 na kupewa namba ya usajili e-ISSN 2799 - 2187 (Online). Jarida limejikita katika uchapishaji wa makala za Fasihi, Isimu na Utamaduni wa Kiswahili. Pia, lililoanzishwa kwa lengo la kuwasaidia wataalamu mbalimbali wa lugha ya Kiswahili kupata fursa ya kuchapisha matokeo ya tafiti zao walizofanya kuhusu lugha ya Kiswahili. JAFAKI linachapishwa mara moja kwa mwaka. Waandishi, watafiti na wapenzi wa Kiswahili wanakaribishwa kuchapisha makala katika jarida hili. Makala zote zitumwe kwa Mhariri Mkuu kupitia baruapepe jafaki@rucu.ac.tz.

Journal Links

Jarida la Fahari ya Kiswahili - JAFAKI

WITO WA MAKALA 2024

CONTACT US

 Contacts

Ruaha Catholic University
Wilolesi Street, Gangilonga Ward, Dodoma Road
P.O.Box 774, Iringa | Tanzania
E-mail: rucu@rucu.ac.tz
Tel- Phone: (+255) 26 27 02431
Monday-Friday, 8am-5pm
Fax: (+255) 26 27 02563

 Direction

Iringa Town| Tanzania
Contact Admissions: 0742281678, 0710500292, 0782737005